Facebook Comments Box

Saturday, October 5, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA AZAM COLA RASMI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza taarifa kuhusu kiwanda cha Azam Cola, kinachomilikiwa na kampuni ya S.S. Bakhresa Group kilichopo eneo la Mwandege, Mkuranga, mkoani Pwani wakati wa hafla maalum ya uzinduzi wa kiwanda hicho

Rais Kikwete alijionea shughuli nzima za uzalishaji hadi upakiaji kiwandani hapo

Rais Kikwete akitalii kiwandani hapo, akiwa ameambatana na mkewe Mama Salma 

Rais Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya S.S. Bakhresa, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na mkewe Mama Salma KIkwete. Kulia kwake ni Dk Abdallah Kigoda  

Rais Kikwete akihutubia kiwandani hapo


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU