Facebook Comments Box

Sunday, October 19, 2014

YANGA NA SIMBA ZASHINDWA KUTAMBIANA PAMOJA NA TAMBO ZOTE

Jonas Mkude akimtoka Jaja kabla ya kuumia na kutolewa nje kwa machela.
Niyonzima akimtoka Beki wa timu ya Simba Hassan Isiaka
Shaaban Kisiga akipiga Pasi mbele ya kiungo wa timu ya Yanga Hassan Dilunga

Timu za Yanga na Simba zimeshindwa kutambiana kwa mara nyingine baada ya kwenda sare ya bila kufungana uwanja wa Taifa, ila mechi hiyo ambayo ilikuwa fifty fifty kwa kiwango kilichooneshwa na timu zote mbili.
 






 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU