Facebook Comments Box

Saturday, August 16, 2014

MAGAZETI YA LEO: TAREHE 16/08/2014

   
 



LOWASSA ATINGA MTAMBANI KUJIONEA HASARA ILIYOLETWA NA MOTO

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa jana ametembelea katika Msikiti wa Mtambani ulioko Kinondoni jijini Dar es salaam kutoa pole na kujionea msikiti huo ulioungua moto majuzi jioni.

Imam wa Msikiti wa Mtambani, Sheikh Suleiman ndiye aliyemuongoza kuona hali ya msikiti na namna moto ulivyoteketeza sehemu ya jengo la shule ya Seminari ya Kiislam ya Mivumoni. Lowasa anakuwa kiongozi wa pili kufika eneo hilo la Msikiti kutoa pole baada ya Mwenyekiti wa Chama cha wananchi, CUF Profesa Ibrahimu Lipumba
Akiongozwa na Imam Suleiman



Akishuka kutoka katikaeneo la shule lililoungua



Akipewa maelezo na Imamu

Account number kwa waislam wanaotaka kuchangia ujenzi wa msikiti wa Mtambani ni hii...kupitia Amana Bank 001140005380001


 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU