Facebook Comments Box

Tuesday, September 4, 2012

MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 04


.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.


UNAJUA KARUTA PRIMARY ILIKUWA INAITWAJE ZAMANI?

Hii ni picha ya Karuta Primary School ambayo ilijengwa hapo na wamisionari wa enzi hizo na ilikuwa ikijulikana kama Ujiji White Father Central School ikiwa na darasa la tano mpaka la nane.Na hapa ndipo aliposoma nguli wa mpira tanzania Sunday Manara Computer.

UJENZI WA BARABARA KATIKA MTAA WA PANGANI JIJINI ARUSHA






 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU