Facebook Comments Box

Wednesday, June 26, 2013

WAKATI WACHEZAJI WENGINE WAKILA RAHA: DEMBA BA AENDA MAKKA NA MEDINA KUFANYA IBADA





ADAM JUMA WA VISUAL LAB ATANGAZA KUACHA KUTENGENEZA VIDEO


Taarifa iliyotufikia ni kwamba Adamu Juma adai kuacha kufanya video za muziki,Akiongea na mtandao wa Bongo 5 Adam juma amesema kwamba kwa sasa anafanya kazi na NGOs mbali mbali kuelimisha jami,alisema tena kwamba video production ni business yake lakini kwa sasa "right now im not doing"lakini bado kuna wasanii anawasiliana nao kuwasaidia kibiashara na kimaendeleo soim still around.Adam juma amesema haoni kama kutakuwa na pengo kwa yeye kutofanya video kwani kuna video production company nyingi zinafanya vizuri tu.

HII NDIO HALI ILIVYO NJE YA HOSPITALI ALIYOLAZWA MANDELA

UJUMBE MBALIMBALI KWAKE
UJUMBE MBALIMBALI UKIWA UMESAMBAA ENEO LOTE LA NJE YA HOSPITALI

WAANDISHI WA HABARI WAMEWEKA KAMBI MDA WOTE TANGU ALAZWE HAPO MZEE MANDELA TUNAMTAKIA KILA LA HERI APONE HARAKA





AUDIO: ZITTO KABWE: I AM TANZANIAN

\


Of blood cleaned by fresh waters of the lakes and the rivers and the streams of my great nation. A vision from the top of mount Kilimanjaro and honesty as clear as The Serengeti savannah. Pure as virgin beaches of Zanzibar. Hopeful as a product of Azimio. Sparkling as Tanzanite stone out of the Land of Maasai.

I am a Tanzanian.

Born of the peoples of Africa, of Tanzania. The Pains of the struggle of African liberation. The pains of The Revolution. Whatever the setbacks of the moment, nothing can stop me from being a Tanzanian, an African. The land of Kambarage. The state of our own creation. Whatever the difficulties, Tanzania shall remain ONE, Strong and UNITED. However improbable it may sound, Tanzania shall prevail. Amongst nations of the world. We are The United Republic of Tanzania.

I am a Tanzanian
.



HIZI NDIO SABABU ZILIZOFANYA JOSEPH MBILINYI (MB) AACHIWE KWA DHAMANA

Kuhusu Joseph Mbilinyi 'Sugu', Mbunge wa Mbeya Mjini. Ni kweli alikuwa polisi Dodoma, alikoitwa kwa madai ya kutoa lugha ya matusi kwa Ndugu Mizengo Pinda, lakini hajaandikisha maelezo, kwa sababu 3, zifuatazo:
  1. Wakili wake, Tundu Lissu, amewaambia kuwa Polisi hawawezi kumkamata na kumhoji Mbunge Sugu, iwe ukumbini, maeneo ya bunge, au nje ya maeneo ya bunge, wakati bunge likiendelea, kutokana na parliamentary immunity aliyonayo hadi polisi watakapofuata taratibu zinazotakiwa.

  2. Neno hilo wanalotuhumu kuwa ni lugha ya matusi, si tusi kwa sheria za nchi yetu, bali linaweza kutumika kwa vitu au mtu anayefanya matendo au kusema maneno yanayostahili kuitwa hivyo.

  3. Wakili wake (Tundu Lissu) kawauliza, nani mlalamikaji katika tuhuma hizo, je wamepokea malalamiko ya Ndugu Pinda mwenyewe? Majibu yalikuwa ya kigugumizi.

Wameondoka polisi kwa makubaliano ya kurudi kesho asubuhi.

Na: Tumaini Makene, Afisa Habari, CHADEMA.

Source: WAVUTI


ANGALIA JINSI RAIS ALIVYO MWAPISHA SKAUTI MKUU WA CHAMA CHA MASKAUTI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na skauti kabla ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na skauti kabla ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Kiongozi Fakih Jundu na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na viongozi wa maskatu na skauti  baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na familia yake baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na waheshimiwa wabunge ambao ni maskauti  baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na skauti Ismail Aden Rageh na wabunge maskauti  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na wanachama wa UWT wilaya ya Ilala  baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na viongozi wa skauti nchini baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na skauti Livingstone Lusinde ambaye pia ni Mbunge wa Mtera  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013


 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU