Facebook Comments Box

Wednesday, November 14, 2012

SAFU MPYA YA UONGOZI WA CCM

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-NEC) kimekutana katika Ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Chama, maarufu kama White House mjini Dodoma,l eo tarehe 14 Novemba 2012. Kikao hicho kilijadili juu ya kuunda na kupitisha majina yaliyopendekezwa na Mwenyekiti wa Chama Mapinduzi Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ya Taifa (CC) pamoja na uundaji wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa. Mwenyekiti wa Chama kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM, anayo fursa ya kuteua wajumbe kumi (10) wa Halmashauri kuu ya Taifa, ambapo Mwenyekiti aliwateua wajumbe wanne (4) akabakiza nafasi nyingine sita (6). Miongoni mwa wajumbe hao ni Mhe. Asha-Rose Migiro, Mhe. Zakhia Meghji, Mhe. Nape Nnauye na Mhe. Abdulrahaman Kinana. Baada ya uteuzi huo Mwenyekiti pia alipendekeza majina ya Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa, ambapo alipendekeza majina yafuatayo: Nafasi ya Katibu Mkuu, Abdulrahaman Kinana. Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Vuai Ali Vuai. Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara, Lameck Madelu Nchemba. Katibu wa Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatib. Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dkt. Asha-Rose Migiro. Katibu wa Uchumi na Fedha, Zakhia H. Meghji. Baada ya mapendekezo hayo, Halmashauri Kuu ya Taifa ilipitisha majina hayo na kuyakubali kuwa hao waliopendekezwa ndiyo hasa wanaofaa kuwa wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa. Pia, Mwenyekiti akawashukuru wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa waliopita na pia kuwataka wajumbe wapya kuchapa kazi, na kuwataka kujenga mustakabali wa Chama, Uimara na Umadhubuti kwa kufanya kazi kwa kushirikiana na kusaidiana.

YANGA ILITUMIA MILIONI 375 KUSAJILI KIKOSI TISHIO LIGI KUU , SOMA TAARIFA KAMILI YA MAPATO NA MATUMIZI


Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Clement Sanga (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam kuhusu taarifa ya mapato na matumizi katika kipindi cha miezi mitatu ya kuwapo kwao madarakni (Julai 15 hadi Oktoba 15, mwaka huu),  Wengine kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa Yanga, Dennis Oundo na kushoto Katibu Mkuu, Lawrence Mwalusako. Katika taarifa hiyo, inaonyesha Yanga ilitumia Sh. Milioni 375 kwa usajili.


Description: C:\Users\user\Desktop\logo\yanga logo.jpg

YOUNG AFRICANS REGISTERED TRUSTEES (YANGA)













P.O.BOX 15202



               



DAR ES SALAAM







TANZANIA                    







Tel: 022 2180011

















E-Mail: info@youngafricans.co.tz                                        Website: www.youngafricans.co.tz










STATEMENT OF PROFIT & LOSS











(FOR THE PERIOD 15 JULY 2012 To 14 OCTOBER 2012)











RECEIPTS (in Tanzanian Shillings)






1 Grants
     601,373,185.00
57.7%


2 Gate Collection
     190,731,132.00
18.3%


3 Sponsorship Income
      80,000,000.00
7.7% Note 1

4 Trade Mark Licensing
  112,144,000.00
10.8%


5 Prize Money
    55,300,000.00
5.3%


6 Member Registration
        2,529,000.00
0.2%


7 Broadcasting Income
                        -  
0.0%


7 Rent Income
                        -  
0.0%


8 Merchandising
                        -  
0.0%






  1,042,077,317.00




EXPENDITURE (in Tanzanian Shillings)






1 Approved Expenses








Accommodation Expenses       37,629,160.00







Allowance Expenses         3,710,000.00







Bank Charges           524,444.94







Foods & Beverages             88,300.00







Fuel Expenses         1,245,000.00







Local Transport Expenses         7,276,000.00







Maintenance Exp           305,000.00







Medical Expenses         2,013,000.00







Misc Expenses         1,402,000.00







Player Registration Exp.     375,325,000.00







Salary & Wages     126,905,000.00







Stationary & Printing           626,500.00







Telephone Expenses             20,000.00







Training Expenses for Players           294,000.00







Training Fees         1,935,483.87







Travel Expenses       39,380,125.00      598,679,013.81
53.6%


2 Approved Expenses - Not Substantiated







Salary and Wages            100,000.00







Suspense      288,190,816.00      288,290,816.00
25.8% Note 2











3 Unapproved - Not Substantiated
      85,652,968.00
7.7% Note 3











4 Unapproved - Substantiated
8,666,000.00
0.8% Note 4











5 Provision 135,063,290.00 135,063,290.00
12.1% Note 5












Total Expenses
1,116,352,087.81

























Surplus/(Deficit) (in Tanzanian Shillings) (74,274,770.81)


































Note 1 The "Sponsorship Income" of Tshs 80,000,000.00 for the period of 15th July, 2012 till 14th October, 2012  is solely from Tanzania Breweries Limited. There was no sponsorship income received for participation in the Premier League from TFF for Vodacom's sponsorship of the Premier League.











Note 2 The "Suspense" amount of Tshs 288,190,816.00 is for transactions that have not yet been satisfactorily accounted for. The major items are: Tshs 55.3 mill prize money of Kagame Cup, Tshs. 30 mill for Pre Season Rwanda trip, Tshs. 30 mill for Player Signing fees, Tshs. 19.8 mill paid for termination of Players Contracts, Tshs 16.5 mill bonus paid to players, Tshs. 8 mill paid to CECAFA, Tshs. 3 mill for accommodation of Team Coach, Tshs. 57.8 mill other sums.











Note 3 The "Unapproved - Not Substantiated" amount of Tshs 85,652,968.00 was paid from 15th July, 2012 till 20th August, 2012 by the Secretary General  without approval or input of the Executive Committee elected on 15th July, 2012 and no supporting documents have been found to substantiate the requirement of payment(s). 











Note 4 The sum under the heading "Unapproved - Substantiated" of Tshs 8,666,000.00 was paid by the Secretary General from 15th July, 2012 till 20th August, 2012 without approval or input of the Executive Committee elected on 15th July, 2012 but there are documents to substantiate proof of outstanding(s). 











Note 5
The "Provision" amount of Tshs 135,063,290.00 has been made primarily due to new creditors that have made demands for payments for period prior to 15th July, 2012 but no information of their existence has been found by Executive Committee elected on 15th July, 2012. Verification is currently being undertaken for such claims.
































(YUSUF MEHBUB MANJI)
(LAWRENCE MWALUSAKO)






Chairman
Ag. Secretary General



 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU