Facebook Comments Box

Saturday, November 2, 2013

ARSENAL VS LIVERPOOL: JE NI OLIVIER GIROUD AU LUIS SUAREZ?


Dynamic duo: Suarez and Sturridge will be part of Liverpool's squad against Arsenal 
Wachezaji wanao tegemewa na Liverpool kama muhimili wao wa mabao siku ya leo ni Suarez na Sturridge kama unavyowaona hapo juu.
Olivier Giroud Striker wa Arsenal ambae hana cha zaidi anapofika langoni kwa adui ila ni kuukwamisha mpira nyavuni tu.
.Mlinganyo wa Timu hizo na uwezekano wa timu ipi kushinda mechi ya leo Jumamosi 02, Novemba mnamo saa mbili usiku hebu tazama wanavyo zidiana.
 
.
 

ELIZABETH MICHAEL 'LULU' ATOA MSAADA WA FEDHA KWA WAGONJWA WA SARATANI OCEAN ROAD


Lulu atoa msaada wa fedha hospitali ya ocean road kwa wagonjwa wa Cancer.
Mwanadada Elizabeth Michael 'Lulu' ametembelea hospitali ya Ocean Road Iliyopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa zawadi za fedha kwa wagonjwa wa saratani hospitalini hapo.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Lulu ameandika "Naamini Mimi sio mwema sana mpaka Mungu akaniwezesha kuona mwezi huu nikiwa mzima na mwenye afya...! kwa kutambua Hilo nimeanza mwezi huu kwa kupita ktk hospital ya Ocean Road na kutoa mchango ili kuwasaidia wagonjwa wa Saratani.

Tuwe na utaratibu wa kuwakumbuka wahitaji kwa chochote tulichonacho! Nawatakia mwezi wenye Baraka na mafanikio!...

Kumbuka kutoa ni moyo na sio utajiri mtu yeyote anaweza kutoa kwa kadri alivyo jaaliwa na M/Mungu lakini halazimishwi na mtu ni wewe mwenyewe ukijiona unaweza unatoa na sio Ocean Road peke yake, kwani wahitaji wapo wengi sehemu nyingi iwe hospitali, vituo vya yatima na kwingineko.


MASHABIKI WATANO WA MBEYA CITY WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA JELA

Watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons wamehukumiwa na Mahakama ya mwanzo mjini Mbeya kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi laki tatu kila mmoja (shs 300,000/-).

Matokeo ya mpambano huo yalikuwa ni mabao 2 ya Mbeya City dhidi ya 0 kwa Tanzania Prisons.

Tazama picha za mali zilizoharibiwa siku hiyo hapa chini:




 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU