Facebook Comments Box

Monday, May 20, 2013

HATIMAYE MBUNGE WA IRINGA MJINI AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mh Msigwa akishuka kwenye gari la polisi kuingia mahakamani
Mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji,  Peter Msigwa akishuka katika gari ya  polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana  huu katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa  wa Iringa  pamoja na  watuhumiwa  wengine  zaidi ya 60 .
 
Ulinzi mkali uliwekwa katika eneo hilo la mahakama  kuzuia wafuasi  wa  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuingia eneo la Mahakama jambo lililowafanya wafuasi hao kushindwa kushuhudia vyema kesi hiyo, inayomkabiri Mbunge wao, kwa vile walilazimika kushuhudia wakiwa nje ya geti

 Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi  wengine wa chadema mahakamani hapo huku  wafuasi  wao  wakizuiwa nje ya mahakama
 Wafuasi  wa Chadema  wakiwa  wamezuiliwa nje ya viwanja  vya mahakama kuu kanda  ya Iringa  wakati mbunge  alipofikishwa katika mahakamani   mchana  huu


WIMBO MAALUMU KWA AJILI YA USHINDI WA YANGA





VIDEO YA YANGA WAKIPOKEA KOMBE NA JINSI NGASSA ALIVYOBEBWA NA WASHABIKI WA YANGA




PICHA ZA MRISHO NGASSA AKITAMBULISHWA KWA WAANDISHI WA HABARI KUWA MCHEZAJI MPYA WA YANGA

Mrisho Ngassa akiibusu jezi ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi kurejea katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili asubuhi ya leo, makao ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. 

Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako akimkabidhi Ngassa jezi ya Yanga leo


USHAHIDI WA PICHA ZA NGASSA AKISAINI YANGA RASMI

Akiweka sahihi ya dole gumba mbele ya Abdallah Bin Kleb

Akimalizia kuweka sahihi mbele ya Majjid Seif (kulia) na Muhamed Bhinda(katikati)

Mrisho Khalfan Ngassa akijaza fomu kwa umakini zaidi (Picha zote kwa hisani ya Saleh Ally)
SOURSE: SALEH JEMBE BLOG

 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU