Hii ndio gari iliyokutwa na mabaki ya miili ya binaadamu ambayo hutumika na wanafunzi wa udaktari kwa mafunzo "cadaver". Miili hiyo ilikuwa inaenda kutupwa kwenye jalala la kawaida. |
Haya ndio mabaki ya viungo hivyo |
Hili tatizo linaletwa na serikali kukubali kuzipa ruhusa taasisi na vyuo ambavyo havijajitosheleza. Chuo hakina hospital yake ambayo inaweza kutumika kuwafundishia wanafunzi wake ila unakuta kimepewa ruhusa na kinafanya kazi.
Ushauri wetu serikali ikague upya vyuo vyote vya udaktari ambavyo havina sifa na havijitoshelezi wavifunge.