Facebook Comments Box

Saturday, October 5, 2013

DEOGRATIAS MUNISH "DIDA" AUMIA MAZOEZINI LOYOLA YANGA IKIJIANDAA KUWAKABILI MTIBWA TAIFA



Daktari wa Yanga SC, akimpatia huduma ya kwanza, kipa Deo Munishi 'Dida' baada ya kuumia kwenye mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa sekondari ya Loyola, Mabibo, Dar es Salaam. Yanga inajiandaa kucheza na Mtibwa Sugar Jumapili katika Ligi Kuu.   

Kipa namba moja wa Yanga SC, Ally Mustafa 'Barthez' akimsaidia Dida baada ya kuumia. Wengine kulia ni Rajab Zahir na Mrisho Ngassa

Mrisho Ngassa akiwatoka wenzake mazoezini

Ngassa yupo fiti kwa ajili ya mechi ya Jumapili.

Yanga SC wakijifua Mabibo



Chanzo:BIN ZUBEIRY


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU