Manchester City leo imetoka uwanjani vichwa chini baada ya kupigwa bao tatu kwa bila na Arsenal chini ni picha za matukio ya mechi yote.
| Hii ni picha inayo onesha matokeo wafungaji wa magoli na watoaji pasi za mwisho |
| Uwanja wa Wembley ilipochezwa mechi hiyo |
| mkongwe wa Arsenal Ian wright akipiga picha "selfie" mbele ya mashabiki wa Arsenal |
| vicent company na Arsene Wenger |
| Santi Karzola akifunga goli la kwanza |
| Ramsey a.k.a Rambo akishangilia goli |
| Nahodha arteta akimpa pole mchezaji wa Manchester City "No hard feelings" |
| Mchoro unao onesha goli zuri la Giroud alilofunga leo. |
| Giroud akishangilia goli |
| shuti la Giroud lililomshinda kipa wa Manchester City |
| washabiki wa Arsenal wakishangilia kwa mtindo wa kugeuka nyuma mtindo huu unaitwa kwa jina la Poznan |
| Washabiki wa Manchester City wakiwa hawaamini walichotendewa |
![]() |
| mabingwa ndio hawa |
![]() |
| Nahodha Arteta akinyanyua ngao |

















