Facebook Comments Box

Friday, May 17, 2013

PICHA: ALEX SONG NA GERARD PIQUE WAKIPIGANA HADHARANI

Astonishing: Gerard Pique (right) and Alex Song seem to be fighting on top of the Barcelona bus
Gerard Pique (kulia) na Alex Song wakiwa wanapigana juu ya basi la Barcelona

Shocked: Victor Valdes (left) and Alexis Sanchez (far left) watch as the pair grapple
Victor Valdes (kushoto) and Alexis Sanchez (kushoto) wakiwatazama
Astonishing: Gerard Pique (right) and Alex Song seem to be fighting on top of the Barcelona bus
Song akionesha ubabe
Astonishing: Gerard Pique (right) and Alex Song seem to be fighting on top of the Barcelona bus
Song akiwa tayari kurusha ngumi

Defence: Pique
Song akionekana na hasira akimfokea Pique
Happy? Other Barcelona stars turn to watch as Song and Pique continue to tussle
Caught flush: Song seems to land a slap on Pique's cheek during the scuffle
Hapa Song akimpa kibao


Caught flush: Song seems to land a slap on Pique's cheek during the scuffle
Hapa ndundi zikianza
Caught flush: Song seems to land a slap on Pique's cheek during the scuffle
Konde likamtoka Song
Huu ugomvi unaweza ukawa umetokana na bia nyingi zilizokuwepo kwenye gari hilo. Wanasiasa wa Catalonia wamelaumu kitendo hicho na kusema ni mfano mbaya kwa vijana
Stepping in: Carles Puyol (back) holds onto Pique's shirt as Valdes holds him by the arm
Carles Puyol akimkunja shati pique

Heated? Puyol and Valdes talk between themselves as the scuffle diffuses Puyol na Valdes katikati wakijaribu kuamulia ugomvi  

Happy? Song (left) poses alongside Sanchez (centre) and Eric Abidal (right) Song (kushoto) alongside Sanchez (katikati) and Eric Abidal (kulia)



MWANDISHI CHARLES MULLINDA AJITOA KWENYE JUKWAA LA WAHARIRI


8 c1dd8
Charles Mullinda


Mhariri Mtanzania Jumatano
Kaimu Mwenyekiti
Jukwaa la Wahariri
YAH: KUJITOA KWENYE JUKWAA


Napenda kukufahamisha kuwa nimeamua kujitoa kwenye Jukwaa la Wahariri kwa sababu siridhiki na mwenendo wa Jukwaa hilo.Nimeamua kujitoa kwa sababu sijaridhishwa na uamuzi uliofikiwa wa kuingilia uhuru wa habari na kufumbia macho baadhi ya mambo ambayo ninaamini hayapaswi kufumbiwa macho.
Uamuzi wangu huu pia unatokana na jinsi jukwaa linavyotumia nguvu kubwa kuficha ukweli unao wahusisha
baadhi ya wahariri ambao gazeti hili lilibaini kuwa walikuwa na mawasiliano yenye utata na aliyekuwa mtuhumiwa wa ugaidi, Joseph Ludovick. Aidha siridhishwi na jinsi baadhi ya wahariri wanavyoshambuliwa na wahariri wenzao katika magazeti yao pasipo Jukwaa kuchukua hatua huku kwa upande mwingine likitumia nguvu kubwa na pesa nyingi kuwalinda baadhi ya wahariri ambao nyendo zao zinatia mashaka.

Kikao cha kwanza na TEF na kilichofanyika leo kimedhihirisha pasipo mashaka kuwa TEF iliamua kuwa na ajenda maalumu ya kumshughulikia Mullinda kwa kuwa tu nilionyesha mawasiliano ya Deodatus Balile na Ansbert Ngurumo dhidi ya Ludovick kama ambavyo gazeti la Tanzania Daima lilivyoonyesha mawasiliano ya Dennis Msaki na Ludovick.
Ripoti ya timu iliyoundwa kuchunguza ukweli wa habari iliyoandikwa na gazeti la Mtanzania Jumatano ina upungufu mkubwa wa kimantiki ambao hata kwenye kikao niliuonyesha lakini haukusikilizwa.Ushahidi wa Ngurumo kumtumia pesa Ludovick upo wazi, lakini hakuna mtu anayeliangalia hilo kwa sababu tu timu ile iliundwa kumshughulikia Mullinda kwa sababu aliandika vigogo wa TEF ambao wako karibu na viongozi wa TEF.
Nimeamua kujitoa baada ya kubaini kuwa jukwaa linafanya kazi kwa ajili ya maslahi ya watu binafsi.
Kwa taarifa hii naamini utaratibu wa kawaida wa kuagana utazingatiwa.

Charles Mullinda.
 


HUU NDIO WARAKA WA MASHITAKA YA RUGE NA KUSAGA KWA LADY JAY DEE COMMANDO

HUU NDIO WARAKA WA MASHITAKA YANAYO MKABILI MSANII LADY JAYDEE MASHTAKA YALIYOFUNGULIWA NA JOSEHP KUSAGA NA RUGE MTAHABA...
 



INASEMEKANA NANI KAMWAGA POMBE YANGU WA MADEE AME-COPY NA KU-PASTE KUTOKA WIMBO HUU




 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU