Facebook Comments Box

Monday, September 3, 2012

BASI LA KAMPUNI YA SHAKILA LAPATA AJALI TABORA

Watu tisa wamejeruhiwa huku watatu wakiwa katika hali mbaya na kupewa huduma ya kwanza katika kituo cha afya cha Mtakatifu Philipo na kisha kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa Tabora Kitete kwa matibabu zaidi,baada ya basi la kampuni ya Shakila lenye namba za usajili T 539 AMY, lililokuwa likitoka wilayani Sikonge kuelekea mjini Tabora na kuanguka eneo la Kizigo manispaa ya Tabora.

PICHA ZA DIAMONDS AKIWA MAREKANI


Diamond Platnums akiwa Washington Marekani na dancers wake, hii ni kwa mwaliko wa kuperform kwenye ardhi ya Obama.

.

.

.

.

.

.
Jinsi alivyopokelewa…

.

.

.

Picha zote ni kutoka kwenye website yake.


PICHA ZA MWANDISHI ALIE ULIWA IRINGA

TAHADHARI, kuna picha ya kutisha kwenye eneo la tukio.

.

Mwandishi David mwenye sweta la rangi ya udongo akipiga picha nusu saa kabla ya kifo chake.

.

.

.

Mwili wa Marehemu Daudi ukiwa chini baada ya kulipukiwa na bomu.

Gari la Chadema lililovunjwa kioo wakati wa vurugu. (Picha zote zimepigwa Francis Godwin )

Marehemu Daudi,


 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU