Facebook Comments Box

Saturday, October 5, 2013

MAMA ASIYEFAHAMIKA APIGWA RISASI KWA KUTAKA KUINGIA IKULU YA WHITE HOUSE

Risasi zimesikika katika mji wa Washington DC baada ya Mwanamke mmoja aliekuwa akiendesha gari kwa kasi kutaka kuingia katika Ikulu ya Marekani ''WHITE HOUSE" pasipo kufuata sheria ya kusimama katika vizuizi vilivyopo katika eneo hilo la ikulu ili akanguliwe Baada ya kuona Mwanamama huyo hataki kutii amri ya kusimama ndipo wanausalama wa Ikulu walipoamua kumfyatulia risasi na  ndipo mauti yalipomkuta ndani ya Gari baada ya kuikagua walikuta kunamtoto mdogo wa kike, Polisi walidhani ni tukio la ugaidi 



Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU