Facebook Comments Box

Saturday, June 29, 2013

KIBONZO: BAADA YA NEYMER KUJIRUSHA UWANJANI WATU WAMETENGENEZA KIBONZO HIKI




KIBONZO: KUHUSU OBAMA KUKATAA KUTEMBELEA KENYA





BEYONCE AVAA VAZI LA KANGA JUKWAANI LILILO TENGENEZWA NA MTANZANIA

Beyonce akiwa amevaa vazi la kanga lenye maneno yasemayo "wawili nyinyi hayawahusu" vazi hilo limebuniwa na mwanamitindo Christine Mhando aishie Uingereza anae tumia nembo ya CHICHIA LONDON. Mwanadada alietengeneza nvazi hilo ni wa katikati katika picha ya chini


OBAMA EXPLAINS WHY HE SNUBBED KENYA

President Barack Obama on Saturday said impending cases facing Kenya's top leadership at the International Criminal Court (ICC) was a factor he probably did not visit Kenya in his Africa tour.
He however said he has another three and a half years in office and might visit the country still as President of America.
“It is commendable that Kenyans had a peaceful elections that did not result in any violence as witnessed in 2007,  it is not the best time for me as president of America to visit Kenya though, Kenya’s administration still has issues to manage at the International Criminal Court,’ he said.
"But I still have some three and a half years in the office and might visit the country, I have special attachment to Kenya as you all know," he said.
Explaining why he settled on Senegal, South Africa and Tanzania in his second visit to Africa, Obama said US had initiated projects in countries such as South Africa which called for close monitoring. This is the second trip Obama is making to South Africa as President of United States of America.
Responding to satellite questions from Kenyans in Nairobi on any foreign policy shift from his adminstration following Kenya's growing close trade ties with China and other countries from the East. Obama said Kenya was free to trade with anybody provided the relationship was symbiotic.
“I want to clarify that my visit to Africa is not related to China growing influence in Africa, Africa is the next big thing and everybody is encouraged to invest in the continent but any kind of trade should benefit the people of Africa,” he said in Soweto on Saturday.
"If somebdy is coming to construct roads in Africa, let Africans benefit in terms of offering labour ans etc, we dont want to see Africa just as the producer of raw materials yet somebody is pocketing the money," he said.
He said his administration was committed to empowering youth and small business to create job opportunities in the continent. “We are committed to uplifting small businesses, and I am hopeful that incentives such as the Africa Growth and Opportunity Act ( AGOA) will be renewed upon expiry to enable Africa easily trade with the US,” he said.
AGOA provides reforming African countries with the most liberal access to the lucrative US market, an offer that is available to countries or region with which the United States does not have a Free Trade Agreement.
Under the Act, tangible incentives are offered to encourage African countries open their economies.

SOURSE: STANDARD MEDIA


VIDEO: OBAMA AKIWASILI AFRIKA YA KUSINI




BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YAONGEZA MUDA KWA WAOMBAJI

BODI YA MIKOPOBYA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YAONGEZA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa mikopo kwa mara ya kwanza, Wanafunzi wanaondelea na masomo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa maombi ya mikopo umeongezwa kwa mwezi mmoja hadi Julai 31, 2013.

Pamoja na nyongeza hii ya muda, Bodi inasisitiza waombaji kujaza fomu za maombi ya kwa njia ya mtandao (OLAS) kwa usahihi na kuzingatia muda wa maombi uliowekwa ili kuepuka usumbufu usio wa lazima. Waombaji wa mara ya kwanza wahakikishe wanajaza kwa ufasaha na kuweka viambatanisho vyote muhimu ili kufanikisha mchakato wa uchambuzi na upangaji wa mikopo.

Kundi la kwanza la wanafunzi waliopangwa kulitumikia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ambao
wamemaliza mafunzo hayo mwezi Juni, 2013 wanapaswa kutumia fursa hii kujaza fomu za maombi ya mikopo bila kukosa. Aidha, kundi la pili la wanafunzi wanaotegemea kuanza  hayo mwezi Julai, 2013 walitakiwa wawe wameshaomba mikopo kati ya tarehe 1 Mei, 2013 na 30 Juni, 2013 lakini endapo kuna wachache ambao hawakuweza kufanya hivyo basi nao watumie muda huu wa nyongeza kujaza fomu za maombi kwa njia ya mtandao wakiwa huko huko JKT.

Endapo mwombaji yeyote atakabiliana na matatizo wakati wa kujaza fomu yake anashauriwa kupiga simu kwenye dawati la huduma kwa wateja kwa namba 022 550 7910 kati ya saa 2.00 asubuhi na saa 2.00 usiku siku za Jumatatu hadi Ijumaa, na kati ya saa 2.00 asubuhi na saa 10.00 jioni siku za Jumamosi.

Ikumbukwe kwamba Bodi haitaongeza muda wa ziada baada ya Julai 31, 2013 ili kutoa nafasi kwa Bodi kuendelea na mchakato wa uchambuzi na upangaji mikopo.
 
IMETOLEWA NA:
BODI YA WAKURUGENZI
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU



 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU