Facebook Comments Box

Monday, June 24, 2013

HALI YA AFYA YA MANDELA YAZIDI KUZOROTA

 Madaktari wanaomtibu rais wa zamani wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela wamesema hali yake imekuwa sio nzuri kwa saa ishirini na nne zilizopita na sasa ni mahututi.
Habari hizo zimekuja kupitia taarifa iliyotolewa na ofisi ya rais ya Afrika Kusini.
Taarifa hiyo imesema bado Mzee Mandela ameendelea kusalia hospitalini mjini Pretoria kwa siku ya kumi na sita akitibiwa mapafu yaliyosababisha tatizo kwenye mfumo wake wa upumuaji.
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amemtembelea Mzee Mandela jumapili jioni na kuzungumza na jopo la matatibu wanaomtibia.

HII NDIO TAARIFA YA CHAMA CHA ANC KUHUSU AFYA YA MANDELA

Picture
Picture

BARNABA BOY AZIMIA KWA DAKIKA CHACHE BAADA YA KIFO CHA MAMA YAKE BI MARIAMU ARUBETH

Barnaba Elias 'BARNABA BOY' akiwa amezimia kwa muda mchache.

Msanii wa kundi la Tanzania House of Talent 'THT' Barnabas Elias maarufu 'Barnaba Boy' alifiwa na mama yake mzazi Bi Mariamu Arubeth alfajiri ya Jumamosi Nyumbani kwake Jijini Dar es salaam, Mama mzazi wa msanii huyo alifariki kutokana na Presha. Tunawapa pole Ndugu na Jamaa wa karibu wa familia ya Barnaba katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpendwa wao ambaye alizaliwa tarehe 04-12-1967 na kufariki tarehe 22-06-2013 siku ya Jumamosi na Kuagwa pamoja na Mazishi kufanyika siku ya Jana Jumapili huko Kigogo Jijini Dar es Salaam.

Angalia picha zaidi za Msiba huo hapa chini:

 MAMA MZAZI WA DIAMOND PLATNUM AKIWASILI MSIBANI.

LAMAR

Simple the Boy alionekana kuwa mbele kwenye
 ratiba ya makaburini
 kuhakikisha mipango inaenda sawa...!!

Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini
kuashiria ishara ya ufufuo...!!
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya
 marehemu Mariamu Arubeth...!!

Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara
 baada ya kumaliza shuguli a maziko...!!
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada
ya shuguli ya mazishi kukamilika...!!
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEM.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU