![]() |
| Arsenal imekamilisha usajili wa Ozil. Kwa usajili huu Kocha Wenger anakuwa amevunja rekodi yake kwa kutoa hela nyingi katika usajili huu |
![]() |
| Fellaini akiingia kufanya maongezi na Manchester United leo huku akifunikwa ili asipigwe picha |
![]() |
| Golikipa Emiliano Vivianoamejiunga na Arsenal kwa mkopo akitokea Palermo leo |


