Facebook Comments Box

Thursday, October 3, 2013

PICHA: NYUMBA ANAYOISHI HARUNA NIYONZIMA YAUNGUA MOTO

Nyumba anayoishi kiungo mahiri wa Yanga Haruna Niyonzima ameingua asubuhi ya leo baada ya shoti ya umeme kutokea na kuunguza na kuharibu vitu kadhaa vilivyo kuwa sebuleni kwa kiungo huyo mchezeshaji






 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU