Facebook Comments Box

Sunday, November 11, 2012

HII NI OFISI YA TANESCO TEMEKE

Hii ni ofisi ya tanesco temeke ikiwa na bango linalo onesha huduma za dharura ni masaa 24 lakini ofisi hiyo imefungwa. |Ni masaa 24 kwa wiki? au walimaanisha nini kusema huduma ni masaa 24?






 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU