Facebook Comments Box

Friday, January 25, 2013

LULU KUENDELEA KUKAA MAHABUSU

Elizabeth Michael.

Kutokana leo kuwa siku ya sikukuu Dahamana ya Elizabeth Michael maarufu kama Lulu imepelekwa mbele mpaka jumatatu ya tarehe 28 January, 2013. Msanii huyo anahitaji Shilingi za kitanzania milioni 20 ili kupata dhamana hiyo. Binti huyo anashitakiwa kwa mauaji ya kuto kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba na amekuwa ndani tokea April 2012 mpaka leo.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU