Facebook Comments Box

Friday, January 25, 2013

HATIMAYE SERIKALI YAPUNGUZA MAKATO UWANJA WA TAIFA

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Amos Makala (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari, ofisini kwake katikati ya Jiji leo, kuhusu kupunguza makato ya mapato ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kukubali kulipa kodi za mishahara wa makocha wa timu ya taifa. Kulia ni Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah. 


Angetile Osiah: Katibu wa TFF akisaini hati ya makubaliano hayo.






Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kamati ya Ligi Kuu, Silas Mwakibinga akisaini hati ya makubaliano kuhusu matumizi ya Uwanja wa Taifa na mgawanyo wa mapato.source bin zubeiry


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU