
Ikiwa ni 
miezi minne tu imepita toka tulipoingia rasmi kwenye mfumo dijitali 
(digital system) kwa vituo vya televisheni.. Startimes wamepandisha 
gharama ya vifurushi.. 
Kile kilichokuwa kinauzwa Tshs. 9,000 sasa kitauzwa Tshs. 10,000.. 
Kile cha 
Tshs. 18,000 sasa kitakuwa Tshs. 20,000.. Kile cha Tshs. 36,000 sasa 
kitakuwa ni Tshs. 40,000.. Itaanza rasmi tarehe 15 April..
TCRA waliahidi mambo  mengi  mazuri kwenye mfumo dijitali..Ahadi  yao  imegeuka  na  kuwa  ndoto.....
Vifurushi  vinapanda  huku  huduma  ikiwa  ni  mbovu  hasa  kwa  hawa  Startimes
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog