Facebook Comments Box

Friday, February 8, 2013

PAMOJA NA WASIWASI WA MOTO MELI YA MV. VICTORIA YAENDELEA NA SAFARI

Mv. Victoria ikijitayarisha kwa ajilii ya kufanya safari yake usiku wa jana(Alhamis tar 07/02/2013) kuelekea mjini Bukoba mkoani Kagera mara baada ya kukaguliwa kufuatia kunusurika kuteketea kwa moto kupitia sakata la wachomeleaji walio sababisha moto uliozuka eneo la kuhifadhi mizigo.

Mv. Victoria ikipakia gari kabla ya kuanza safari yake.



 Wasafiri wakipanda kama kawaida licha ya baadhi yao kuonekana kuwa na wasiwasi na wengine kuahirisha kabisa safari.



Ndani ya meli abiria wakitathimini mazingira.





Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU