Facebook Comments Box

Friday, February 8, 2013

WANACHAMA WA NSSF KUWASILISHA MICHANGO KWA M-PESA

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori. (kushoto) akibadilishana hati na Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa wakati wa kutambulisha mfumo mpya wa kuwasilisha michango ya uanachama wa NSSF kwa njia ya M-Pesa uliofanyika jijini Dar es SalaamTar 07/02/2013 Alhamis.



Meneja Kiongozi Mahusiano, Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kulia) akiwa katika mkutano huo.


Wawakilishi wa NSSF.


Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori akifafanua jambo wakati wa kutambulisha mfumo mpya wa kuwasilisha michango ya uanachama wa NSSF kwa njia ya M-Pesa uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa..






Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU