Facebook Comments Box

Friday, February 8, 2013

MATOKEO KIDATO CHA NNE: WASICHANA WAENDELEA KUNG'ARA


Kutoka katika ukuta wa facebook wa National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A) wanatuhabarisha kuwa matokeo ya kidato cha nne yanatoka leo kama mambo yote waliopanga yataenda sawa. Na ukuta huo umeenda mbali zaidi na kutueleza kuwa wasichana wameendelea kung'ara katika matokeo yao. Baadhi ya wadau mbalimbali walioongea na kitongoni wamekuwa wazi kuwa tutarajie shule ambayo imekuwa ikiongoza kwa muda mrefu ya Marian Girls secondary School kuendelea kutoa wanafunzi wengi vipanga (waliofanya vizuri) katika matokeo hayo.

Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU