  | 
| Moses Mwasubira, ambaye alikuwa mwenezi wa Chadema wilaya ya Mbeya akikabidhiwa kadi ya NCCR na  | 
  | 
| Mmoja
 wa kada Chadema, Emanuel Mwangoka (Cash Money), ambaye inadaiwa kuwa 
ndiye alikuwa mfadhili Mkuu wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 
(Chadema), akikabidhiwa kadi ya chama kipya, alisema atatumia uwezo wake
 wote kama alivyofanya kwa sugu kuhakikisha NCCR-Mageuzi inaibuka na 
kung’ara mkoani  | 
Mjumbe wa Halmshauri Kuu taifa ya chama hicho, Juju Danda,
  | 
 Mjumbe
 wa Halmshauri Kuu taifa ya chama hicho, Juju Danda, katika tukio la 
kuwapokea wanachama wapya 21 waliojunga na chama hicho, wakitokea Chama 
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). 
  
 | 
  | 
 Aliyewahi
 kuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mbeya na kujiunga na NCCR-Mageuzi , 
Januari 20 mwaka huu Eddo Mwamalala, alisema wanachama hao waliomfuata 
ni mtaji mkubwa wa kuhakikisha inakimaliza chadema mkoani hapa.
 
 |