Habari
ilizozipata kutoka kwa afisa mmoja anayehusika ktk
Ofisi ya habari na maelezo ya Harakat Al-shabaab Al Mujahideen
ameihakikishia kuwa account ya Al-shabaab imefunguliwa kwa jina
nyingine upya na kwanza kufanya kazi,ambapo kwanzia sasa umma unaweza
kuufuatilia Habari na matamko kutoka kwa Harakat Al-shabaab Al
Mujahideen.
Afisa huyo ametabanaisha kuwa accounti hiyo mpya inayojulikana kwa jina la @HSMPRESS1, imeanza
kufanya kazi kwanzia jana usiku ambapo baadhi ya habari muhimu
zimetangazwa kwenye ukurasa huo kwa lugha ya kingereza,ambapo Al-shabaab
wameelezea jinsi maadui walivyo jaribu kuwafunga mdomo na
kuwasikizisha propaganda zao za uongo wanayo yatangaza,
ilikuwa wiki mmoja iliyopita tangu Shirika la Twitter ilipoifungia ukurasa waliokuwa nao la @HSMPress ambapo
uliwavutia watu wengi zaidi ya wanachama 21000 waliokuwa
wakiyafuatilia maoni,matamko pamoja na Habari za Mujahideena wa
Somalia,shirika hilo la Twitter ilidai kuwa ilipata Shinikizo kutoka
Nchi za Magharibi na Ufaransa ili kuufunga Accounti hiyo ya Harakati
Al-shabaab Al Mujahideen wa Somalia.
Kwanzia
sasa Ummah wote wa Kislaam waliokuwa wakiyafuatilia ukurasa wa Harakat
Al Shabaab Al Mujahideen wanatangaziwa rasmi kuwa ukurasa mpya @HSMPRESS1 unafanya kazi,
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog