Facebook Comments Box

Tuesday, February 5, 2013

HABARI MPASUKO:WATU WATANO WAMEFARIKI DUNIA MBEYA

Habari zilizo tufikia kutoa Mbozi - Mbeya zinasema, Watu watano(5) wamekufa wakiwemo watatu(3) wa familia moja baada ya kupigwa na Radi kutokana na mvua kubwa sana iliyoambatana na Radi hizo kunyesha wilayani Mbozi katika Mkoa wa Mbeya.

Habari zaidi tutawaletea kadri muda unavyozidi kwenda.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU