Facebook Comments Box

Wednesday, October 2, 2013

TAZAMA JINSI MVUA ILIVYO HARIBU MIUNDO MBINU SAME

Wakazi wa Kijiji cha Ndungu Wilayani Same,wakiangalia Greda likiendelea na kazi ya kusawazisha njia mara baada ya kumomonyoka kwa udongo katika eneo linalojengwa Daraja na kupelekea magari kushindwa kupita kwa muda.
hali hiyo imekuja kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha Wilayani humo. Zoezi hili lilichukua takribani saa moja na nusu na kufanikiwa kupita kwa magari yaliyokuwa yamekwama kupisha zoezi hilo.
CHANZO:http://tinyurl.com/p6no74v


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU