Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (aliyevaa miwani katikati), akifuatwa
na wananchi baada ya kumaliza mkutano wa kuelezea utekelezaji wa Ilani
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Temeke, Dar es Salaam hivi
karibuni.
Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akihutubia katika
mkutano wa hadhara wa kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha
Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimsikiliza Mweka Hazina wa Kikundi
cha Kuweka na Kukopa (VICOBA), Anjela Ndigula ambaye alipokea sh. 50,000
alizotoa msaada kwa Muya Thabit ili ajiunge na kikundi hicho, baada ya
kuambiwa hana haki hivyo anashindwa kulipia pango. Msaada huo aliutoa
katika mkutano wa hadhara wa kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha
Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni.
Muya Thabit akicheza kwa furaha baada Mbunge Mtemvu kumsaidia fedha za kujiunga na vicoba
Diwani wa Kata ya Temeke, Khamis Nsombo, akiwazawadia fedha wasanii wa kikundi cha Msimamo
Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akikizawadia fedha kikundi cha sanaa
cha Msimamo kilichokuwa kinatumbuiza katika mkutano wa hadhara wa
kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata
ya Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni. Pia aliahidi kukipatia kikundi
hicho sh. 500,000 za kununulia vifaa.
Muya Thabit akiomba fedha kwa Mbunge Mtemvu ili alipe pango
Wananchi wakiuliza maswali kwa Mbunge wao Mtemvu
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog