Facebook Comments Box

Tuesday, March 5, 2013

WATAALAM WA MAMBO WANASEMA HUYU NDIO MCHUMBA WA JUSTIN BIEBER


Justin Bieber
Ella-Paige.

Kuna uwezekano mkubwa Justin Bieber alikuwa na sherehe mbaya ya kuzaliwa ijumaa iliyopita ila alipata mtu ambaye alifanya sherehe yake ya kuzaliwa iwe nzuri  kidogo. Na huyo sio mwingine bali ni Ella Paige mrembo ambae anajihusisha na muziki nchini uingereza.
 Mrembo huyo ana miaka 17 tu. Inasemekana walionana mara ya kwanza Los Angeles wakati binti huyo akirekodi kama mwenzi mmoja uliopita baada ya hapo wamekuwa wakionekana jijini London wakila raha na kuwa pamoja kwa muda mwingi 

Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU