Facebook Comments Box

Saturday, February 16, 2013

PICHA ZA KIKAO CHA BARAZA LA VIJANA LA CCM KINACHOFANYIKA LEO NA KESHO DODOMA

www.kitongoni.blogspot.com
Meza kuu wakati wa kuanza kikao
www.kitongoni.blogspot.com

www.kitongoni.blogspot.com
Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wiliam Malecela maarufu kama LEMutuz akiwa anasisitiza jambo kwenye mkutano huo.

www.kitongoni.blogspot.com

Sekretarieti ya UVCCM ikiwa meza ya mbele pamoja na wajumbe wengine wa Baraza Kuu la UVCCM
 


www.kitongoni.blogspot.com

Wajumbe wa Baraza mbele pamoja na Chipukizi na kikundi cha uhamasishaji wa UVCCM Mkoa wa Dodoma wakiwa safu ya nyuma.


www.kitongoni.blogspot.com
Kikao kikifunguliwa

www.kitongoni.blogspot.com
Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa.

www.kitongoni.blogspot.com

www.kitongoni.blogspot.com



Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU