Facebook Comments Box

Sunday, January 27, 2013

MKAZI WA TANDIKA APIGWA RISASI KISA DENI LA TSH 100

 
Picture
MKAZI wa mtaa wa Tandika, Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Shilingi ya Kitanzania 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa (Picha: Christopher Nyenyembe via Habari Mseto blog )



Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU