
 Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, 
Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na baadhi 
ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio 
mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam.

Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Mkurugenzi wa Azam TV Bw. 
Dunstan Tido Mhando wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya 
za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam.

Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya za 
stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam, Pamoja naye 
kwenye kilinge cha utangazaji ni mmiliki wa stesheni hiyo Bw. Saidi 
Salim Bakhressa

Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa fundi mitambo Mkuu wa 
Azam TV Bw. Mehdoub al Hadad juu ya namna gari la kurusha matangazo nje 
ya studio (OB Van) linavyofanya kazi wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi
 wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es 
salaam.

Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Bw. Saidi Salim Bakhressa wakati 
alipohudhuria sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo 
iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam.

Rais 
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari, 
Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na 
baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa 
studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog