Umaskini umekuwa sugu. Kwa mwaka1 anzia Mei ntatoa sh1m kila mwezi kwa tweet nitakayochagua kuwa bora kushinda vita na umaskini
— Reginald Mengi (@regmengi) May 13, 2013
Hapa akimuelekeza mmoja wa watumiaji wa mtandao huo wa kijamii jinsi ya kushiriki. Inatakiwa uzielekeze zote kwake ili azione.
@karamafadhili Tafadhali tweet kwangu moja kwa moja.
— Reginald Mengi (@regmengi) May 13, 2013
Hapa akisisitiza Tweet zihusu upambanaji na umasikini
@mwampinge Anipelekee wazo lake jinsi ya kushinda vita dhidi ya umaskini.
— Reginald Mengi (@regmengi) May 13, 2013
Akaeleza na kusudio lake
@ddeedat Kusudi langu ni kufanyia mawazo hayo kazi.
— Reginald Mengi (@regmengi) May 13, 2013
Kabla ya kuja na wazo hilo yeye mwenye aliwahi ku tweet kuhusu umasikini kwa jicho la tatu
Umaskini umekuwa sugu. Kwa mwaka1 anzia Mei ntatoa sh1m kila mwezi kwa tweet nitakayochagua kuwa bora kushinda vita na umaskini
— Reginald Mengi (@regmengi) May 13, 2013
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog