Sir
 Kassim Juma Nature, kinara wa kundi la TMK Wanaume Halisi akiwanyooshea
 Mike mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika mchuano wa NANI MFALME 
ambapo mashabiki walimkubali kuwa Mfalme wao dhidi ya mahasimu wao, TMK 
Wanaume Family.
Hivi
 ndivyo ilivyokuwa kwa mashabiki wa TMK Halisi, wakati wote vidole 
juu...TATU BILA, hata walipopagawishwa na nyimbo kali za TMK Family. 
Mhe. Temba akicheza na mashabiki katika mpambano huo wa kukata na shoka 
JB wa TMK Halisi akicheza na mashabiki wake pia 
Sir Nature (kulia) na Doro..kazini 
Mhe. Temba na Chege,,,kazini 
..Inspector Haroun akiwa jukwaani akiwakilisha Gangwe Mob kivyake 
..Inspector anapoamua kuvua viatu na kupiga shoo peku... 
..Chezea Dar Live wewe! 
Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa akionesha manjonjo yake mbele ya mpiga gitaa wake! 
...dogo Lila kutoka kundi la Nature, akiwa ni member mpya wa kundi, akichana mistari vibaya mno.... 
...dogo Aslay wa TMK Family akiwaimbisha mashabiki 
...Profesa jay nae alikuwepo kuwakilisha vilivyo game ya Hip Hop 

DJ Jd alikuwepo kwenye mashine kucheza nyimbo za Prof jay na pia kuwaonesha Ma DJ chipukizi jinsi ngoma inavyochezwa! 
........shooo wa Wanaume Family ikipamba moto 
DJ JD alikuwa kama jaji pia, hapa akimtangaza Nature ndiye Mfalame kama mashabiki walivyoitikia. 
Nature akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mfalme.