| KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akimpa zawadi ya 
kinyago cha 'Ujamaa', Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha China 
(CPC), Kamati Kuu jimbo la Sichuan, Zhang Ning, baada ya mazungumzo yao,
 Machi 15, 2013, katika hoteli ya Jinjiang, mjini Chendu, China. Kinana 
yupo nchini China  na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM kwa ajili ya ziara ya
 mafunzo. (Picha na Bashir Nkoromo). |