Mkurugenzi  wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa  Shirika la Taifa la
 Hifadhi ya Jamii (NSSF),  Yacoub Kidula (kulia) akimkabidhi funguo ya 
nyumba, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Hamid 
Mahmoud Hamid baada ya kununua nyumba ya shirika hilo iliyopo katika 
eneo la mradi wa nyumba za bei nafuu huko Kibada Kigamboni jijini Dar es
 Salaam jana. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu 
na Utawala Bora, Mahfoudha Alley Hamid. 
Mkurugenzi wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiangali akikagua nyumba ya shirika hilo kabla ya kuikabidhi kwa mnunuzi wa nyumba hiyo, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Hamid Mahmoud Hamid. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mahfoudha Alley Hamid.
Baadhi ya nyumba za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) 
zilizopo katika eneo la mradi wa nyumba za bei nafuu huko Kibada 
Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog