![]() |
| Kiiza akijaribu bila mafanikio kufunga |
![]() |
| Aggrey Morris akiruka juu ya Paul Ngalema kupiga mpira kichwa |
![]() |
| Mbuyu Twite akimuacha chini Salum Abubakar |
![]() |
| Kiiza akimtoka Hajjji Nuhu |
![]() |
| Haruna Niyonzima |
![]() |
| Chuji akijadiliana na Niyonzima kabla ya kupigwa kwa mpira wa adhabu |
![]() |
| Kiiza alivyomuenzi Mafisango |
![]() |
| Mwadini akidaka mpira hewani |
![]() |
| Simon Msuva anateleza |
![]() |
| Mwadini akiruka kupangua mpira |
![]() |
| Msuva |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Yanga |
![]() |
| Jabir Aziz akimdhibiti Chuji |
![]() |
| Kiiza anapasua katikati ya Ibrahim Shikanda kulia na Sure Boy kushoto |
![]() |
| Nadir Haroub 'Cannavaro' akimdhibiti John Bocco |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Yanga |
![]() |
| Stewart Hall alitia huruma |
![]() |
| Frank Domayo kulia akipambana na Aggrey Morris |
![]() |
| Niyonzima akipiga shuti mbele ya Shikanda |
![]() |
| Twite anapasua |
![]() |
| Sure Boy akimtoka Twite |
![]() |
| Sure Boy na Twite |
![]() |
| Chuji akipiga kisu mbele ya Sure Boy |
![]() |
| Msuva anatafuta njia |
![]() |
| Shughuli |
![]() |
| Yanga wakipiga ndiki kabla ya mechi |
![]() |
| Kikosi cha Azam leo |
![]() |
| Kiiza anamtoka Erasto Nyoni |
![]() |
| Kikosi cha Yanga leo |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Azam |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Yanga |
![]() |
| Msuva akiwasalimia wenzake benchi baada ya kupumzishwa |
![]() |
| Niyonzima kushoto, Nyoni kulia |
![]() |
| Kiiza na Hajji Nuhu |
![]() |
| Kiiza baada ya kufunga bao la pili |
![]() |
| Kavumbangu wa pili kutoka kushoto, akishangilia bao lake na wenzake |
![]() |
| Kavumbangu wa kwanza kushoto |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog




































