Facebook Comments Box

Wednesday, September 10, 2014

SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA NI "SAMSUNG GALAXY NOTE EDGE" HEBU IONE HAPA

Haya tena wale wapenzi wa teknolojia,Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note amabayo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge.

Simu hii ina kioo kilichojikunja tofauti na flat screen tulizozoea, kwa sasa hii ndio highest end phone kutoka Samsung.



Note Edge ina sifa zifuatazo:

Inaelekea kufanana kiasi Note 4. Yenyewe ina metallic design, It has the same soft-touch back, blissfully without the fake stitching. Ina kamera yenye 16-megapixel, heart-rate monitor, processor, memory, software, Multi Window feature, kila kitu kama ndugu yake note 4.



Kwa sasa hii ndio simu kutoka samsung yenye nguvu kuliko simu zote.

Ina Quad HD, 2560 x 1440 display kama kwenye Note 4, Ila hii kioo chake ni kidogo kidooogo ambayo ni inchi 5.6 tofauti na 5.7 ya note 4.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU