Kengeja Likoni kisiwani Pemba watu wameshuhudia kiumbe kikubwa sana cha baharini kilicho pwewa katika mwamba wabahari kuu Kengeja
Kuna watu wengine wanasema ni nyangumi wapo wanao sema chongowe na wengi wanasema hawamjui ni aina gani ya kiumbe hicho.
Hadi sasa wapo hapa Vijana Wa tawi la likoni zaidi ya Vijana 200 kujionea kiumbe cha ajabu urefu wake karibu mita 40 upana na mita 25 kwa kwenda juu.
Hadi sasa wapo hapa Vijana Wa tawi la likoni zaidi ya Vijana 200 kujionea kiumbe cha ajabu urefu wake karibu mita 40 upana na mita 25 kwa kwenda juu.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog