Wakati akifanya mahojiano na shirika la habari la AFP amesema kuwa "nilikuwa nataka kutengeneza kitu ambacho kitaeleza tabia halisi za kijamii za binaadamu"
organic light-emitting diode (OLED) ambayo imewekwa kwenye miwani hiyo inaunganishwa na kifaa cha kugundua mihemko "emotion" ambacho kimewekwa nyuma kidogo ya miwani hiyo
Mwanasayansi huyo ambae anafanya kazi katika chuo kikuu cha Tsukuba anasem. miwani hiyo itasaidia kugundua wasafiri wakorofi au wanafunzi wakorofi na sehemu ya kazi ambapo mahusiano sio mazuri
Miwani hiyo ina uzito wa gram 100 na inauzwa kwa dollar za kimarekani 290.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog