
Waziri
 wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini 
mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli zakusafiria katika kipindi cha
 Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuliwa kurudisha 
nauli zilizozidi abiria wao.zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri 
katika eneo la Visiga mkoani pwani na kila basi lilozidisha nauli 
lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu. 

Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog