Facebook Comments Box

Saturday, November 2, 2013

MASHABIKI WATANO WA MBEYA CITY WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA JELA

Watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons wamehukumiwa na Mahakama ya mwanzo mjini Mbeya kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi laki tatu kila mmoja (shs 300,000/-).

Matokeo ya mpambano huo yalikuwa ni mabao 2 ya Mbeya City dhidi ya 0 kwa Tanzania Prisons.

Tazama picha za mali zilizoharibiwa siku hiyo hapa chini:




Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU