Facebook Comments Box

Thursday, November 21, 2013

HII NDIO HUKUMU YA BABU SEYA

Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha imewarejesha jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi.Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wanagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU