Facebook Comments Box

Friday, November 8, 2013

BREAKING NEWS: JUMA KASEJA ASAINI YANGA

Juma Kaseja asaini Yanga.Katika habari ambazo hazijathibitishwa rasmi inasemekana golikipa na nahodha wa zamani wa team ya Simba Sc Juma Kaseja(tanzania 1) amesain mkataba wa mwaka mmoja na team ya Yanga yenye maskani yake mitaa ya Twiga na Jangwani.Katika kuthibitisha hilo kiongozi mmoja wa juu kabisa wa Yanga ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa Kaseja amepewa mkataba wa mwaka mmoja na Yanga na leo mchana ilikuwa wamalizane.Kiongozi alifafanua zaidi akisema baadhi ya viongozi walikuwepo uwanjani kushuhudia mchezo baina  ya Yanga dhidi ya JKT Oljoro na viongozi wengine walikuwa wamebaki kumalizana na Juma Kaseja.Hii itakuwa mara ya pili kwa Kaseja kusajiliwa na Yanga baada ya mara ya kwanza kusajiliwa ambapo aliitumikia kwa mwaka mmoja na baadaye kurejea tena Simba mpaka mwisho wa msimu uliopita ambao Simba waliaamua kumtema kutokana na kile kilichodhaniwa ni kushuka kiwango kwa golikipa huyo n



Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU