
Basi la klabu ya Yanga likiwa linaingia katika uwanja wa sokoine
 mjini Mbeya limeshambuliwa na mashabiki wanaodhaniwa kuwa wa Mbeya City
 kwa kupigwa mawe, kitu kilichopelekea vioo vya gari hilo kupasuka.
Katika tukio hilo dereva wa basi la Yanga aliumizwa
Mechi iliisha kwa timu hizo kutoka suluhu ya Moja kwa Moja
 
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog




