![]() |
| Madishi... |
![]() |
| Mtaalamu kutoka Marekani akitoa mafunzo kwa Jaffar Iddi kwa Crew la Azam TV |
![]() |
| Botha akitoa mafunzo kwa Crew |
![]() |
| Kijana wa Crew akipata mafunzo ya utumiaji wa vifaa vya kisasa |
![]() |
| Kijana wa Crew mafunzoni katika kifaa cha kisasa kabisa |
![]() |
| Kama CNN, au... |
![]() |
| Mmoja wa Wakurugenzi wa Azam TV, Alhaj Yussuf Bakhresa (kulia) akiwa na Wataalamu kutoka Uingereza |
![]() |
| Gari kubwa la kurushia matangazo ya moja kwa moja |
![]() |
| Mtambo huo.. |
![]() |
| Gari la kurushia matangazo ya Live |
![]() |
| Wataalamu kutoka nchi mbalimbali wakiwa kazini ofisi za Azam TV Tabata Reli |
![]() |
| Mtaalamu kutoka Uingereza akiwa kazini |
![]() |
| Hii maana yake Uwanja wa Taifa wapiga picha za kawaida watakuwa hawasumbuliwi- kinyonga huyu atakuwa anachukua vitu juu kwa juu..hakuna kukimbia na Kamera... |
![]() |
| Gari dogo la matangazo ya Live |
![]() |
| Uani |
![]() | |||||
| Barazani CHANZO: BIN ZUBEIRY | BIN ZUBEIRY |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog

















