Facebook Comments Box

Friday, August 16, 2013

SHEIKH PONDA APELEKWA GEREZANI SEGEREA


Leo hii, Sheikh Ponda Issa Ponda (54) aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Kitengo cha Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) alikokuwa akipatiwa matibabu, amehamishiwa katika gereza la Segerea.Sheikh Ponda bado anauguza majeraha yake ya mkono aliyoyapata huko Morogoro ila jeshi limemchukua na kumpeleka Segerea akamalizie kuuguza majereha huko huko Segerea.
Kwa mujibu wa mashtaka aliyosomewa akiwa MOI, Sheikh Ponda atalazimika kurudishwa tena mahakamani siku kesi yake itakapotajwa Agosti 28 mwaka huu, ambapo upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.


Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU