
Mtandao wa Google umeamua kuizidi Umoja wa Mataifa baada ya yenyewe kuanza kuitambua Palestina kama nchi rasmi. Hawakutoa taarifa rasmi ila ni baada ya kuona nembo iliyopo chini ya Google.
![]() |
Hii picha ni ya mwanzo kabla Google haijaitambua Palestina kama nchi kwa chini ikiwa imeandikwa mipaka ya Palestina kwa Lugha adhimu ya Kiarabu |
![]() |
Na hapa ikisoma kama nchi. |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog